TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 7 November 2011

Prince Charles akiwa na Rais Kikwete Ikulu

Mfalme wa Wales na mrithi pekee wa kiti cha Ufalme na mtoto wa Malkia wa Uingereza, Prince Charles wa pili kushoto akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wa pili kulia wakiwa katika picha ya pamoja Ikulu.wa kwanza kulia ni mke wa Prince Charles na wa kwanza kushoto ni Mama Kikwete.

No comments:

Post a Comment