Jopo la Mapadre watatu kwa pamoja waliongoza ibada ya Komunio ya watoto 52 kigango cha Mwanagati (Kutosho) ni Fr. Barthelemy Bazemo wa Burkina Faso, Fr. Benedict Shemfumbwa mwalimu wa Seminari ya Segerea na Fr. Victor Lijaji wa Parokia ya Mbezi Luis.
No comments:
Post a Comment