TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 13 November 2011

Baba na mama wakimpongeza binti yao

Bw. Simon Nguka (kulia) akiwa na mkewe Bi. Naomi wakiwa katika picha ya pamoja na binti yao Irene nyumbani kwao Mwanagati, Kitunda Dar es Salaam baada ya kupokea Komunio ya kwanza katika kanisa Katoliki Kigango cha Mwanagati, Kitunda Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment