TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday, 2 November 2011

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma yagomea TCRA

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Dodoma, Bi. Felister Bura akitaka kupata ufafanuzi wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma ikipitia mahesabu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kushoto ni Bi. Amina Mwidau mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoa wa Tanga.(Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment