Kitunda-Kivule kifusi hakijasambazwa mwezi moja na nusu sasa
Kweli barabara ni mbivu, wananchi wanashukuru kwa ujenzi huo lakini kifusi kukaa mwezi na nusu bila kusambazwa ni hatari kwa watembea kwa miguu na magari kushindwa kupishana hata kusababisha ajali.
No comments:
Post a Comment