Mwenyekiti wa Walei Parokia ya Kitunda, Bw. Sylevesta Mchaka (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Parokia, Bw. Simon Nguka (katikati) na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Parokia Injinia Justin Mlebya mara baada ya kumaliza mahojiano na Televisheni Tumaini kuhusu mikakati ya kanisa.
No comments:
Post a Comment