Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Leonidas Gama akitoa maelekezo kwa njia ya simu kuhusu hatua ambazo Serikali itachukua kwa wavamizi wa mashamba wapatao 770 kutoka kabila la Wakurya kutoka Tarime wakitumia silaha za jadi kuvamia mashamba ya Pugu Kinyamwezi kata ya Chanika na Mbondole Kata ya Msongola yanayomilikiwa kihalali na wananchi (Picha na Peter Mwenda)
No comments:
Post a Comment