Mkuu wa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar es Salaam kupitia Wilaya ya Kipolisi ya Ukonga Ilala, Bw.Jumanne Muliro akizungumzia sakata la uvamizi wa kabila la wakurya wapatao 770, la kupora ardhi ya wananchi na kujenga makazi huku wakilinda kwa silaha za jadi na kutishia maisha ya wamiliki, kushoto ni Katibu Tarafa wa Ukonga, Bw. Jeremia Makorere (Picha na Peter Mwenda)
No comments:
Post a Comment