Dkt. Didas Masaburi (katikati) akisoma ramani ya wapi kilipo kiwanja namba 116 eneo la DDC Mlimani ambacho Kaimu Meneja Mkuu wa DDC, Bw. Cyprian Mbuya na Meneja wa Miradi wake Bw. Rupia John (kulia) wakisema kiwanja namba hizo hakipo kwenye orodha ya mali walizokabidhiwa (Picha na Peter Mwenda).
No comments:
Post a Comment