TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 25 July 2011

*MBEYA WAJIANDAA NA SHEREHE ZA MASHUJAA, KITAIFA KUFANYIKA MTWARA KESHO



Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa katika mazoezi kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sherehe za Mashujaa zinazoazimishwa Kitaifa mkoani Mtwara kesho Julai 25. Picha na Mbeya Yetu Blog
Askari wa Bendi ya Magereza wakiongoza gwaride hilo la mazoezi hayo ya maandalizi ya sherehe za mashujaa.

No comments:

Post a Comment