TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 13 December 2010


Akinamama wa kijiji cha Mtera wakipiga ngoma kuomba ridhaa ya mnyama Kakakuona aliyekuwa amezungukwa na watu hao (hayupo pichani) kumuomba alete neema ya  mvua na kundoa njaa katika mikoa ya Iringa na Dodoma.

No comments:

Post a Comment