| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Mbwana chinenda  jinsi ya kupiga ngumi iliyo nyooka 'Jab' wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kuzipiga na   Nassoro Nyange Novemba 30 katika ukumbi wa  ukumbi wa Champion Nifht Club uliopo Gongolamboto Dar es salaam Picha na Super D Boxing News | 
No comments:
Post a Comment