Watanzania wanasali na kumuombea Mungu rais Kikwete amchague Waziri Mkuu anayejali maisha duni ya watanzania ambao 80% wanakula mlo mmoja kwa siku kutokana na ukata mkubwa.
Wanataka Waziri mkuu asitokane na kukindi kinachoonekana hakina huruma na watanzania (mafisadi) na uwezo huo huo ajaliwe ili achague baraza la Mawaziri lenye uwezo wa kuwa wasikivu kwa watanzania na kuongoza wizara zao bila tamaa ya kujichumia wenyewe.Mungu mbariki Kikwete kwa hili lililopo mbele yake.AMEN
No comments:
Post a Comment