TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Friday 6 May 2016

Jezi zitakazotumika timuya Taifa ya Roll nchini Kenya

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports inayouzavifaa vya michezo, Ismail lBura (kulia) akimuonesha Kocha Mkuuwa mchezo huop, Aurthur Haule(Kushoto)ainaya sare zenye rangi ya taifa zinazofaa kuvaliwana wanamichezo wanapokuwa nje ya nchi.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Nadia Hause of Beuty, Nadia Azmat akikabidhi jezi kocha wa timu ya Taifa ya Roll, Auther Haule (kushoto) timu hiyo inakwenda kushiriki mashindano ya Afrika yanayofanyika Kenya.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Nadia Hause of Beuty, Nadia Azmat akikabidhi sare (Truck Suit) kwa kocha wa timu ya Taifa ya Roll, Auther Haule (kushoto) timu hiyo inakwenda kushiriki mashindano ya Afrika yanayofanyika Kenya.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Nadia Hause of Beuty, Nadia Azmat akikabidhi viatu kocha wa timu ya Taifa ya Roll, Auther Haule (kushoto) timu hiyo inakwenda kushiriki mashindano ya Afrika yanayofanyika Kenya.


No comments:

Post a Comment