Naanza kufundisha watoto-Ufunguo
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Kulia) akimkabidhi
vifaa vya kuweka alama uwanjani wakati wa mafunzo mchezaji wa zamani wa
Simba na Taifa Stars, Kureshy Ufunguo aliyeamua kuanzisha shule ya
watoto.
No comments:
Post a Comment