Tigo Mteja bora 2014, Anta Ramadhani
(kulia) akipokea zawadi ya simu kutoka kwa Mtaalamu wa Habari katika
Mitandao ya Kijamii ya Tigo Samira Baamar, katikati ni Meneja Uendeshaji
na Msaidizi wa Mifumo ya Mawasiliano wa Tigo Halima Kasoro
|
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo wakiwa katika
picha ya pamoja na Tigo Wateja bora 2014, katika hafla fupi ya
kuwakabidhi zawadi wateja hao iliyofanyika leo katika Makao Makuu ya
Tigo Tanzania, Makumbusho Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment