Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho
Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola,
marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho
Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija,
wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa
Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili
lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa
Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William
Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya viongozi wakipita kutoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho
Jakaya Kikwete, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola,
marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili
lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Askari wa Bunge la Jamhuri, wakibeba Jeneza lenye mwili
wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wakiwasili kwenye viwanja vya
Karimjee kwa ajili ya zoezi la kuagwa mwili, leo.
Rais
Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika na waombolezaji
wakati wa zoezi la kuagwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge
ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Makamu wake Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakati wakiwa katika Viwanja vya Karimjee wakijumuika na
waombolezaji wengine katika zoezi la kuagwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, leo.
Makamu wa Rais wa
Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi
ya viongozi waliohudhuria zoezi hilo la kuagwa mwili wa marehemu
No comments:
Post a Comment