MWENDA BLOG

TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 18 September 2014

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. 
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam
Posted by MWENDA BLOG at 1:13 am
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Followers

About Me

My photo
MWENDA BLOG
Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania
This is it!!! The Senior Journalist experienced in Tanzania and overseas for over seventeen years (25yrs) in media industry back in 1993.Working with different giant media houses that got a lot to share with. This is it! The blog,” mwendanews.blogspot.com”, is the ultimate that will make you get a lot of information none distorted which you could never, ever get that before, local and international in both hard and soft news with great of entertainments. For more comments lives please contact: petermwenda0@gmail.com / mwendapeter5@yahoo.com / mobile: 0786 / 0752 / 0715 222677 (24hrs).
View my complete profile

My Blog List

  • MICHUZI
    WANAFUNZI WA MRIJO JUU WANUFAIKA NA MSAADA WA VIFAA VYA HEDHI KUIMARISHA ELIMU YA WASICHANA - Na Janeth Raphael - MichuziTv Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mrijo Juu iliyopo wilayani Chemba mkoani Dodoma wamepata nafuu ya changamoto zi...
    9 hours ago
  • KAMANDA WA MATUKIO
    ASKOFU GWAJIMA: VIJANA PUUZENI WANAOCHOCHEA VURUGU - Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje y...
    10 hours ago
  • JIACHIE
    Ujenzi wa Barabara Kuelekea AFCON 2027 Watiliwa Mkazo - Kamati ya Wataalam ya Serikali ya Maandalizi ya Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2027 (AFCON 2027) imeweka mkazo katika kuhakikisha miradi ya ...
    12 hours ago
  • BONGOWEEKEND
    ASKOFU MWAMALANGA: KILA MTANZANIA ANAWAJIBU WA KUTUNZA AMANI - Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini Tanzania, William Mwamalanga, ametoa wito kwa...
    1 day ago
  • Dina Ismail
    When Do Blueberries Grow - [image: When do blueberries grow] When do blueberries grow They're native to North America, where the harvest runs from April to late September. During t...
    1 year ago
  • viwanjani nini kimejiri
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masum...
    6 years ago
  • SuperD Boxing Coach
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...
    6 years ago
  • Burudan Mwanzo - Mwisho
    BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE - Na Mwandishi wetu Bondia Ibrahim Makubi yupo kambini kwa ajili ya mazoezi yake ya kumkabili bondia abdallah kingolwira wa ( morogoro ) katika pambano l...
    6 years ago
  • swahili hood portal
    WASANII WA FILAMU TEMEKE KULAMBA DILI KUBWA – GABO - MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amefunguka kuwa ni wakati wa wasanii wenye makazi na maisha yao, kulamba du...
    6 years ago
  • Daily Mitikasi Blog
    Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’ - Kwa nafasi ya upendeleo New Talents tunachukua fursa hii kukupa nafasi ya kwanza kuitazama hii video ya Simulizi mpya iliyo beba ujumbe mkubwa unaotakiwa ...
    8 years ago
  • DIDA MITIKISIKO
    ZARI'S BIRTHDAY ZANZIBAR.... -
    9 years ago
  • Karibu PR Promotion Blog
    JANET MBENE AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SEKONDARI YA ILEJE - Mbunge wa Ileje , Mh Janet Mbene,akiakabidhi mifuko 50 ya Saruji kwa Mkuu wa shule ya Sekondari ya Ileje Agrey Mwahihojo kwa ajaili ya ukarabati wa mada...
    9 years ago
  • MakavuLive
    Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc -
    9 years ago
  • REGISCARTOON
    -
    10 years ago
  • MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:
    HOFU YA VYETI FEKI SERIKALINI - - *WATUMISHI WOTE SASA KUHAKIKIWA VYETI VYAO* - *ASKARI WALIOVITUMIA KUPANDA VYEO KUKIONA * *Na Heri Shaaban* Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kuje...
    12 years ago
  • The Habari
    JAMHURI PARK DEVELOPMENT - The foundation stage.
    16 years ago
  • WWW.GODFREYNNKO.BLOGSPOT.COM
    -
  • MACHELLAH 0713 470 492 machellahm@yahoo.com
    -

Facebook Badge

Peter Mwenda

Create Your Badge

DVD ZA SUPER D BOXING COACH KUINGIA SOKONI

DVD ZA SUPER D BOXING COACH KUINGIA SOKONI
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838

DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA

DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

DVD ZA SUPER D BOXING COACH KUINGIA SOKONI

DVD ZA SUPER D BOXING COACH KUINGIA SOKONI
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838

Watermark theme. Powered by Blogger.