TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday 10 July 2014

MCHEZO WA KERAM WASHAMIRI KWA KASI



Mchezaji wa mchezo wa Keram Rajabu Kudura wa pili kulia akijaribu kurenga kete wakati wa mchezo wake na Yahaya Abdalah mchezo uliofanyika katika klabu ya Mti pesa kwa wachoraji buguruni Malapa Dar es salaam jana Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment