TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 15 June 2014

NAIBU WAZIRI WA ELIMU JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR ES SALAAM



 
1wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akifunga rasmi mafunzo ya kikazi ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya 2010 na masuala ya Itikadi kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa wakiwemo Wenyeviti, Makatibu na Makatibu wenezi wa wilaya hiyo yaliyokuwa yakifanyika jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya JB. Belmont, yakindaliwa na Mbunge Makini na Machachari wa jmbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe, Viongozi hao wa CCM wilaya ya Ludewa walianza na ziara ya kikazi iliyoanzia Bungeni Mjini Dodoma, Chuo Kikuuu cha UDM na Makao makuu ya CCM mjini humo ambapo walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na kuzungumza naye akiwapa nasaha nyingi kuhusu maadili ya uongozi. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 2wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria semina hiyo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Ndugu Stanley Kolimba. 3wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Eliud Shemauya Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa. 4wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoHonolatus Pilimini Mgaya Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa. 5wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe. 6wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akikabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. 7wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. 8wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ambaye ndiye aliyeandaa ziara hiyo na semina ya kimafunzo kwa viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa. 9w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa.

No comments:

Post a Comment