Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na
Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo tunza mazingira kwa
kutotupa maji machafu ambayo hutengenezwa na kuwa masafi na kutumika
upya kwa baadhi ya shughuli za kiwandani hapo kama kumwagia bustani,
kuoshea magari na n.k, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa
ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha
Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya
kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Cocacola Mwanza, Christopher Gachuma,
akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
kuzungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho, wakati alipowasili kwenye
Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani,
zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Cocacola, (hawapo pichani)
wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na
kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya
Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja
vya Furahisha, jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda hicho wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akizungumza nao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na
Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo tunza mazingira kwa
kutotupa maji machafu ambayo hutengenezwa na kuwa masafi na kutumika
upya kwa baadhi ya shughuli za kiwandani hapo kama kumwagia bustani,
kuoshea magari na n.k, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa
ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na
Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo tunza mazingira kwa
kutotupa maji machafu ambayo hutengenezwa na kuwa masafi na kutumika
upya kwa baadhi ya shughuli za kiwandani hapo kama kumwagia bustani,
kuoshea magari na n.k, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa
ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na
Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo tunza mazingira kwa
kutotupa maji machafu ambayo hutengenezwa na kuwa masafi na kutumika
upya kwa baadhi ya shughuli za kiwandani hapo kama kumwagia bustani,
kuoshea magari na n.k, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa
ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana

Makamu akionyeshwa maji masafi ambayo tayari yameshapita katika hatua kadhaa yakiwa machafu hadi kuweza kutumika upya.
No comments:
Post a Comment