Mhariri
Mwandamizi wa gazeti la The African Balinagwe mwambungu akichagua
kuponi ya mshindi wa promosheni ya mshindi wa promosheni ya Twenzetu
Brazili( Picha zote na Humphrey Shao)
Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd Absolom Kibanda
akizungumza na waandishi wa habari an wadau waliofika kushuhudia
promosheni hiyo
Ikupa Mwakiteleko akichanganya na kuchagua karatasi ya kumtafuta mshindi wa twenzetu Brazili
Mfanyakzi
wa Kampuni ya New Habari lati Mbonea akichanga kuponi na kuchagua
kuponi kwa ajili ya kumtangaza mshindi wa promosheni wa twenzetu
Brazili,Pembeni GME wa New Habari(2006) Ltd , Absolom Kibanda na Meneja
Mauzo Michael Budigila akishuhudia tukio hilo
No comments:
Post a Comment