TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday 15 April 2014

WENGI WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA GULUMO


Waumini wa dini ya kislam wakiswalia jeneza lenye mwili wa marehemu Muhidini Maalimu Gulumo
mjane wa marehemu

mjane wa marehemu
msanii ally choki akihojiwa na dacoa hamisi wa tbc

waumini wa dini ya kislam wakiiombea duwa ya mwisho baada ya kuswalia mwili wa marehemu maalimu gulumo
baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa gulumo
Jeneza lenye mwili wa marehemu gulumo likipelekwa katika gari kwa ajili ya mazoko yaliyofanyika masaki kisarawe

No comments:

Post a Comment