Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabizi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo Mohamed Chipota kwa ajili ya kuamasisha mchezo wa masumbwi katika eneo ilo na kuwapa moyo wa kuendelea na mazoezi wanaoshudia wengine wa pili kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago na Mussa Sindano Vifaa hivyo pamoja na Dvd vina thamani ya shilingi laki mbili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu
Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baazi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago , Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabizi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo Mohamed Chipota kwa ajili ya kuamasisha mchezo wa masumbwi katika eneo ilo na kuwapa moyo wa kuendelea na mazoezi wanaoshudia wengine wa pili kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago na Mussa Sindano Vifaa hivyo pamoja na Dvd vina thamani ya shilingi laki mbili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu
Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo baada ya kuwakabizi vifaa vya mchezo huo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe, Raymond Mbwago,kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota, Mussa Sindano na Omari Bai, , Vifaa na picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameipiga tafu GYM ya mchezo wa ngumi ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo Dar es salaam kwa kuwapati vifaa vya mchezo huo akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Super D alisema amevutiwa na uanzishwaji wa GYM hiyo ambayo ina uwezo mkubwa wa kuwatoa mabondia wazuri kipindi kijacho aliongeza kwa kusema kuwa unajua hizi GYM za mtaani zipo chache sana na wana uhaba wa vifaa vya kufundishia hivyo mimi nimeamua kujitolea gloves mikono mitatu kwa kuanzia ili wapate moyo wa kuendelea na mazoezi pamoja na DVD za mafunzo mana ndio timu ambazo tunazitegemea kwa siku za usoni kutuletea mabondia wakali watakaoweza kutuletea medali na kutupa sifa nchi hii Akizungumza mara baada ya kupokea vifaa hivyo Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo Mohamed Chipota amesema vifaa hivi pamoja na DVD za mafunzo ya ngumi zimekuja wakati muhafaka kwa kuwa tulikuwa na huaba wa vifaa kama hivi hivyo tunaomba wadau mbalimbali wajitokeze kutupa sapoti kama alivyofanya Super D yeye ni kocha wa Mkoa wa Kimichezo Ilala sasa hapa kama amewekeza mabondia wa ilala sasa watatokea hapa kwa siku za usoni tumeanza hivi karibuni lakini mategemeo yangu ni kuibua vipaji vyipya kabisa vya mchezo wa masumbwi nchini alisema Chipota Super D ambaye ujihusisha na uhuzaji wa DVD za mafunzo ya ngumi pamoja na vifaa vya mchezo huo ikiwemo, Gloves,Gum shit, Clip bandeji dambel,Protecta,bukta, singrend na vifaa vyote vya mchezo wa masumbwi |
No comments:
Post a Comment