Mbunge
wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi
katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa
muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko
baada ya kuwasiliana na ndugu wa marehemu.
No comments:
Post a Comment