BONDIA
Francis
Cheka mwishoni mwa wiki iliyo pita alichezea kichapo kutoka kwa Fedor Chudinov mpambano uliofanyika katika ukumbi wa Dynamo Palace of Sports in Krylatskoye, Moscow, nchini Russiampambano uho ni wa kwanza kuchapwa baada ya kutawazwa kuwa bingwa wa WBF mkanda ambao anaushikilia mpaka hivi sasa
katika mpambano huo pia alicheza mtanzania m
mabondia hawo kwa sasa wanafunga dimba kwa mwaka huu kwa kufanywa magunia ya mazoezi punch bag
No comments:
Post a Comment