Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki na Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Mideye,
Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola akichangia Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (wapili kulia) na
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo, Bungeni
Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment