| Wafuasi wa CUF wakifuatilia mkutano huo. | 
Umati
 wa watu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kuwahamasisha 
wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha 
wananchi wote uliofanyika leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es 
Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Umati uliojitokeza leo.
 Tunafuatilia kwa makini mkutano.....
 Tundu Lissu.
 Mabele Marando.
Mbunge wa Ubungo (Chadema),  John Mnyika.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,  James Mbatia.
 Askofu Kakobe.
 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Azaveli Lwaitama. 
Wenyeviti
wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao wakati
wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba
mpya unaoshirikisha wananchi wote . Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa ADC, Lucas
Limbu  Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti wa
NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa
CUF, Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa (UPDP), Fahmi Dovutwa. 
No comments:
Post a Comment