TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 21 July 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI RUVUMA



 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa  Idara ya uhamiaji wakati alipowasili kwenye jengo la Idara hiyo mjini Songea kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mabwawa ya kufugia samaki wakati alipotembelea Kituo cha Maendeleo  ya Ufugaji Samaki cha Ruhila kilichopo mjini Songea. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama chakula cha samaki wakati alipotembelea Kituo cha Maendeleo  ya Ufugaji wa Samaki cha Ruhila kilichopo Songea Mjini akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 20, 2013. Wapili kulia ni mkewe, Mama Tunu Pinda na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu. 
0163 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama moja  ya magari ya mafunzo  yanayotumika katika Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Tanzania  (VETA) cha Songea wakati alipokizindua 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kuhoto) wakitazama vyakula na vifaa mbalimbali vya jikoni katika maonyesho ya  kozi zinazofndishwa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Tanzania (VETA) cha Songea 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na madiwani wa Manispaa ya Songea wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara  mjini Songea akiwa kayia ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu (kushoto kwake) wakitazama ngoma ya wanawake wa Songea kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Songea
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafnzi wa Shule ya Sekondari ya Songea Girls baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Songea Julai 20, 2013. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafnzi wa Shule ya Sekondari ya Songea Girls baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Songea Julai 20, 2013. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. 
Baadhi ya Waislam walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye Ikulu ndogo ya Songea wakishiriki katika futari hiyo 
Baadhi ya Waislamu wa Songea wakishiriki katika futari  wakati Waziri Mkuu, Mkuu Mizengo Pinda alipofuturisha kwenye Ikulu ndogo a  ya Songea akiwa katika  ziara ya mkoa wa Ruvuama 
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  (wapili kulia)  akizungumza na baadhi ya wanawake  walioshiriki katika futari ambayo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliwaandalia baadhi ya Waislam wa Songea

No comments:

Post a Comment