Kamati ya kusimamia Tuzo ya Wanamichezo Bora 2012 kukutana na wadau
Habari mdau, naomba kukujulisha kuwa kesho Ijumaa Februari 1, 2013
Kamati ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Mwaka 2012 itakuwa na
mkutano na wana habari saa tano asubuhi kwenye mgahawa wa City Sports
Lounge Posta Dar es Salaam kuzungumzia mambo mbalimbali ya tuzo hizo.
Unakaribishwa sana, naomba mjulishe na mwingine.
Katibu TASWA
31/01/2013
No comments:
Post a Comment