Beki
wa timu ya Tusker ya Kenya, Joseph Shikokoti (kushoto) akimdhibiti
mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuz, wakati wa mchezo wa kirafiki baina
ya timu hizo uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.
Katika Mchezo huo leo Yanga imefungwa bao 1-0 bao lililofungwa kwa mkwaju wa penati .
No comments:
Post a Comment