Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda, akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Meneja wa Intaneti wa Tigo, Titus Kafuma.
Ofisa wa Kampuni ya Tigo, David Sekwao (kushoto), akibofya kwenye
kompyuta kupata mmoja wa washindi 42 wa droo kwanza ya mwezi ya Jumuiya
ya Tigo smart card, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia kulia ni Ofisa
Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha, Humud
Abdulhussein.
No comments:
Post a Comment