TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday 4 October 2012

WAREMBO WA MISS TANZANIA WAKIJIACHIA GIRAFFE HOTEL




 Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,  wakielekea kupata chakula cha mchana wakati wakiwa katika kambi yao inayoendelea kwenye Hoteli ya Giraffe, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. 
 Mrembo akiwa katika pozi.....
 Warembo wakiwa katika pozi.....
 Mrembo akijiachia.....kimodel.....
 Mrembo akipozi kwa picha......
 Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kambi hiyo ina jumla ya warembo 30 waliowasili katika maandalizi ya kuelekea shindano la fainali za Miss Tanzania 2012, ili kumpata Mrembo atakayemrithi,Salha Israel, ambaye anashikilia Taji hilo hivi Sasa, ambapo fainali za mwaka huu zinatarajia kufanyika Novemba 3, katika hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
 Warembo wakijiachia kuelekea kupata menu.....
 Ni kama wanajifua na 'Cut Work'........kumbe wanawahi Menu tu......
 Menu kwanza..........

No comments:

Post a Comment