TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday 9 October 2012

TASWIRA ZA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE AKIFANYA MITIHANI YAKE YA MWISHO AKIWA WODINI


 
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Alfa Morogoro, Jesca Kiliani (17) akifanya mtihani wa taifa wa kidato hicho akiwa wadi namba 7B  katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo jana, baada ya kulazwa kufuatia kufanyiwa operesheni ya uvimbe ambapo hivi sasa anaendelea na matibabu hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment