TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday, 17 October 2012

SIMBA, KAGERA STARS NGOMA DROOO




  Amir Maftah wa Simba akimtoka Amandus Nesta wa Kagera Sugar, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
 Emmanuel Okwi wa Simba akimpongeza Felix Sunzu baada ya kufanikiwa kuifungia timu yao goli la kwanza dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. (PICHA NA KASSIM
Mchezaji Wilfred Ammeh wa Kagera Sugar (kulia), akipiga mpira mbele ya Amri Kiemba wa Simba, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mrisho Ngassa wa Simba.

No comments:

Post a Comment