Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya jumba la Rideau
Hall jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya kuanza
ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012. Jumba
hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa Canada tangia
mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo hutumika kwa
kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa kupokelea wageni
mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia shughuli zote za
kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa
Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa, Canada, kwa ziara rasmi ya
siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku akiangaliwa
na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa,
Canada, kwa ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4,
2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokeas heshima ya kupigiwa mizinga 21
katika viwanja vya jumba la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika
hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano
Oktoba 4, 2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana
Jenerali wa Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia
hapo ndipo hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema,
pa kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia
shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi katika viwanja vya
jumba la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza
ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4,
2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa
Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo
hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa
kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia
shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watanzania walijitokeza
kumpokea akiongozana na Gavana Jenerali wa Canada Mhe. David Johnson na
mkewe Mama Sharon Johnson katika viwanja vya jumba la Rideau jijini
Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku
mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba fupi baada ya kuwasili katika
viwanja vya jumba la Rideau jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya
kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4,
2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa
Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo
hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa
kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia
shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Gavana Jenerali wa
Canada Mhe. David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson kuingia jumba la
Rideau jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara
rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika mazungumzo na Gavana
Jenerali wa Canada Mhe. David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson na
viongozi wa serikali ya nchi hiyo katika jumba la Rideau jijini Ottawa,
Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili
jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
No comments:
Post a Comment