Kiongozi
wa Chama cha mchezo wa gofu Tanzania (TGU), Major Samuel Hagu (wa pili
kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu
mashindano ya ‘NMB Nyerere masters’ yanayotarajia kuanza kutimua vumbi
Oktoba 13-14 katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Picha na Habari Mseto Blog
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa benki ya NMB, Kees Verbeck akifafanua
jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu
benki hiyo kudhamini mashindano ya gofu ya 'NMB Nyerere Masters'
yatakayoanza Oktoba 13-14 katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es
Salaam na kudhaminiwa kwa sh milioni 15.
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa benki ya NMB,
Kees Verbeck akimkabidhi mfano bwa hundi yenye thamani ya sh milionmi 15 kwa kiongozi
wa Chama cha mchezo wa gofu Tanzania (TGU), Major Samuel Hagu kwa ajili ya
mashindano ya ‘NMB Nyerere masters’ yanayotarajia kuanza kutimua vumbi Oktoba
13-14 katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja
Mawasiliano NMB, Josephine Kulwa na Ofisa Utawala wa TGU, Sophia Nyanjera
No comments:
Post a Comment