Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga
uwezo wa Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local
Engineers). Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na
kumalizikia katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam, leo
Oktoba 7, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib
Bilal,akimkabidhi cheti, Mhandisi Grace Beo, kutoka Kampuni ya Temesa ICT
Engineer, akiwa ni mmoja kati ya waliochangia na kushiriki vyema katika zoezi la
kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi wa Tanzania,
yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers). Makamu alikabidhi vyeti hivyo
baada ya kuhitimisha rasmi matembezi hayo ya hisani yaliyoanzia katika Viwanja
vya Karimjee na kumalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar
es Salaam, leo Oktoba 7, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib
Bilal,akimkabidhi cheti, Mhandisi Morgan Nyonyi, kutoka Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC), akiwa ni mmoja kati ya waliochangia na kushiriki vyema katika zoezi
la kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi wa Tanzania,
yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers). Makamu alikabidhi vyeti hivyo
baada ya kuhitimisha rasmi matembezi hayo ya hisani yaliyoanzia katika Viwanja
vya Karimjee na kumalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar
es Salaam, leo Oktoba 7, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Wahandisi (Local Engineers) baada
ya kuhitimisha matembezi hayo katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini
Daar es Salaam leo, Oktoba 7, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment