Waziri wa fedha na Uchumi
Dk.William Mgimwa (kushoto) akibadilishana hati ya mkopo wa Tsh
280Billioni kutoka kwa Meneja wa Benki ya Exim ya India Geeta Poojary
(katikati) jijini Dar es Salaam leo kwaajili ya kusaidia usambazaji wa
maji kwenye mji wa Chlinze kulia ni Balozi wa India Debnath Shaw |
No comments:
Post a Comment