Daraja
la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya Hindi eneo la Kurasini
jijini Dar es Salaam. Daraja hilo litakapokamilika litakuwa na njia 6 pamoja na
barabara za juu na kuwa moja ya Daraja kubwa na la kipekee Afrika Mashariki na
Kati.
TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 13 September 2012
Hatimaye ujenzi wa daraja la Kigamboni waanza rasmi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment