Meneja Masoko wa Grandmalt,
Fimbo Butala (katikati) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa ZFA, Masud Attai
Masud na Mwanasheria wa ZFA, wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar mara baada ya kukamilika kwa
semina ya wanahabari kuhusu ligi kuu ya soka ya Grandmalt kwenye hotel
ya Zanzibar Ocean View Sept. 13.2012. |
No comments:
Post a Comment