Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha Rose Migiro (wa pili kulia) akipiga makofi wakati akikaribishwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika sherehe ya kumkaribisha iliyoandaliwa na Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es salaam Bi. Zarina Madabida na kulia ni Mbunge wa Viti maalum Iringa Bi. Ritha Kabati(Picha na Peter Mwenda)
No comments:
Post a Comment