TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 9 August 2012

WATEJA WENGI WAZIDI KUNUFAIKA NA PROMOSHENI ZA JENGA MAISHA YAKO NA NMB



 Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kushoto) akibofya kwenye kompyuta kuwapata washindi wa promosheni ya 'Jenga Maisha Yako na NMB' katika droo iliyofanyika, Dar es Salaam leo, ambapo baadhi ya washindi watazawadia mabati, saruji, ada ya shule, mteja kuongezewa amana maradufu na zawadi nyingine lukuki. Wanaoshuhudia ni Mratibu wa Miradi wa Selcom Wireless, Everline Simpilu (kulia) na Sadiki Elimsu ambaye ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha (GBT)
 Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kushoto) akibofya kwenye kompyuta kuwapata washindi wa promosheni ya 'Jenga Maisha Yako na NMB' katika droo iliyofanyika, Dar es Salaam jana, ambapo baadhi ya washindi watazawadia mabati, saruji ada ya shule, mteja kuongezewa amana maradufu na zawadi nyingine lukuki. Wanaoshuhudia ni Mratibu wa Miradi wa Selcom Wireless, Everline Simpilu
Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kushoto) akibofya kwenye kompyuta kuwapata washindi wa promosheni ya 'Jenga Maisha Yako na NMB' katika droo iliyofanyika, Dar es Salaam leo.PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment