Shughuli mbalimbali za
mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills katika uwanja
wa Independence Square jijini Accra leo Agosti 10, 2o12
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli ya mazishi ya Rais John
Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012





No comments:
Post a Comment