Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akijumuika na waumini wa dini ya Kiislam, katika swala ya Magharibi 
wakati alipojumuika na waumini hao katika Futari ya pamoja 
aliyowaandalia na kufuturu nao Migombani Unguja mjini Zanzibar jana.
 Wake
 wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal
 (wa pili kulia) na Mama Asha Bilal (katikati) wakijumuika na waumini wa
 dini ya Kiislam, wakati wa futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa
 waumini hao iliyofanyika Migombani Unguja, mjini Zanzibar jana. 
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiagana na baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislam, baada ya kufuturu nao
 futari ya pamoja aliyowaandalia Migombani Unguja mjini Zanzibar jana.

 Mke
 wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, 
akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya kushiriki nao 
katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika jana 
Migombani Unguja mjini Zanzibar.
Mke
 wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia 
Bilal, akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya kushiriki
 nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri 
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika jana 
Migombani Unguja mjini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment