TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Friday, 10 August 2012

BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA WAJASIRIAMALI JIJINI ARUSHA




  Baadhi ya wajasiramali waliomaliza kwenye vyuo vikuu hapa nchini na kujiunga na ujasiriamali wakiwa na mkurugenzi wa benki ya CRDB mkoani Arusha Chiku Issa wa pili kutoka kulia  pamoja na  na mwasheria wa benki hiyo Aphar ambaye alikuwa muwezeshaji kwenye semina ya uwezeshaji wa wajasiriamali wa awali na wakati iliyoendeshwa na benki ya CRDB jijini Arusha.
(Picha na Ahmed Mahmoud- Arusha)
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB mkoani Arusha Chiku Issa akitoa vyeti kwa Mmoja wa washiriki wa semina ya uwezeshaji wajasiriamali wa awali na wakati na wateja wa benki hiyo katika siku ya mwisho ya kufunga semina hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Golden Rose jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment