TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 17 July 2012

YANGA WATOKA KIFUA MBELE KWA MABAO 7-1YA EL SALAM WAU YA SUDAN



 Wachezaji wa Yanga wakishanngilia bao la nne dhidi ya El Salam Wau ya Sudan wakati wa mechi ya Ligi ya Kagame iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salam
 Wakipongezana
 Mchezaji wa Yanga , Hamis Kiiza akishangilia kwa hisia mara baada ya kufunga bao sita la kiifundi dhidi ya El Salaam Wau ya Sudan wakati wa mechi ya Ligi ya Kagame iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
 Mchezaji wa timu ya Yanga,Hamis Kiiza  akipiga cross
  Mwenekiti mpya wa Yanga, Yusuf Manji akishuhudia Timu yake

No comments:

Post a Comment