TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 22 July 2012

TEMEKE JOGGING WAPATA VIFAA VYA MICHEZO



Katibu wa Mbogwe Group, Shukuru Mihayo, (Kushoto), akimkabidhi vifaa vya michezo, Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Musa Mtulya, vikiwa ni maalumu kwa ajili ya timu ya watoto ya soka ya Mbogwe, ikiwa ni moja ya juhudi za kukuza vipaji vya watoto, katika hafla iliuofanyika Mbogwe Pub, Kurasini jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Chichi Somboko, Kocha wa timu hiyo,  Doto Ramadhani na Christopher Nathaniel ambaye ni Katibu wa Temeke Jogging


Baadhi ya watoto wanaounda Mbogwe Kids.
Katibu wa Mbogwe Group, Shukuru Mihayo, (Kushoto), akimkabidhi vifaa vya michezo, Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Musa Mtulya, vikiwa ni maalumu kwa ajili ya timu ya watoto ya soka ya Mbogwe, ikiwa ni moja ya juhudi za kukuza vipaji vya watoto, katika hafla iliuofanyika Mbogwe Pub, Kurasini jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Chichi Somboko, Kocha wa timu hiyo,  Doto Ramadhani na Christopher Nathaniel ambaye ni Katibu wa Temeke Jogging. 
Mwenyekiti wa Temeke Jogging akionesha vifaa alivyokabidhiwa.

No comments:

Post a Comment