TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 22 July 2012

Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU), Mhe. José Manuel Barroso atembelea CCBRT



  Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za 
  Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT Dkt Wilbrod Slaa  akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr Erwin Telemans (kati) pamoja na Spika Makinda.
 Mkurugennzi akiwatambulisha wagonjwa.
You might also like:

No comments:

Post a Comment