TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 22 July 2012

Rais Kikwete na Kamishna wa Maendeleo wa Jumuiya ya Ulaya, Andris Piebalgs Wazindua Mradi wa Maji Mbeya




Rais Jakaya Kikwete pamoja na Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya, Andris Piebalgs wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa MRADI WA MAJI SAFI na usafi wa mazingira katika eneo la Swaya mjni Mbeya. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment